Timu ya Wataalamu: Wasifu

Majadiliano na Mwenye (Chifu) Mchekenje na familia yake, Ndanda Benedictine Abbey, Tanzania.

Mradi huu unakutanisha taaluma na mbinu mbalimbali ambazo zinatafakurisha nyaraka kwa njia inayoonekana na kushikika mfano, usanifu, akiolojia, urithi na mazingira pamoja na aina nyingine za ushahidi,kama masimulizi ya mdomo na shuhuda zilizoandikwa na ambazo hazijandikwa. Zaidi ya utafiti wetu wa kimsingi juu ya usawa wa uhifadhi wa makavazi, ni mjumuisho huu wa taaluma unaweza kufanikisha malengo ya GCRF, na kuwa kiungo kati ya Mashariki ya Kati na Afrika. Malengo hayo yanaonekana katika mifumo ya kitaifa, kisheria, kiuchumi na usalama. Kwanza hoja yetu itaanza kwa kujishughulisha na vikundi vya kawaida, mashirika na taasisi, bila kusababisha nchi zinazoendelea kuwa katika mivutano ya pande mbili Kaskazini-Kusini.

Waratibu

Elena Isayev; Chuo Kikuu cha Exeter, Exeter, Uingereza
Peter Campbell; Shule ya Uingereza Roma (BSR), Roma, Italia

Watafiti Wenza

Howayda Al-Harithy; Chuo Kikuu cha Amerika cha Beirut (AUB), Beirut, Lebanon
Elena Fiddian-Qasmiyeh; Chuo Kikuu cha London (UCL), London, Uingereza
Mick Finch; Central St. Martins (CSM), London, Uingereza
Kodzo Gavua; Chuo Kikuu cha Ghana, Accra, Ghana
Nancy Rushohora; Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Cape Town, Afrika Kusini na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania
Valence Silayo; Chuo Kikuu cha Tumaini Ndaki ya Dar es Salaam, Tanzania

Washirika

Edwar Hanna; Syrbanism, Vienna, Austria na Syria
Ceri Ashley; Makumbusho ya Uingereza (BM), London, Uingereza
Laura Madokoro; Chuo Kikuu cha Carleton, Ottawa, Canada
Klabu ya Utamaduni ya Baddawi; Kambi ya Baddawi, Lebanon
Camillo Boano; London Urban Lab, UCL, Uingereza
Mkoa wa Lindi; Tanzania
Abasia ya Wabenedictini; Ndanda, Tanzania
Makumbusho ya Vita vya MajiMaji; Songea, Tanzania
Jumba la kumbukumbu ya kitaifa ya Tanzania; Dar es salaam, Tanzania
Tawny Paul; Chuo Kikuu cha Exeter, Exeter, Uingereza

Watafiti wengine

Aqeel Abdulla; Chuo Kikuu cha Exeter, Exeter, Uingereza
Zonke Guddah, Chuo Kikuu cha Ghana, Accra, Ghana
Ali Khodr; Chuo Kikuu cha Amerika cha Beirut, Beirut, Lebanon
Louisa Minkin na Elizabeth Wright; Central St. Martins (CSM), London, Uingereza
Yousif M. Qasmiyeh; Chuo Kikuu cha Oxford, Oxford, Uingereza na Kambi ya Baddawi, Lebanon

Bodi ya washauri

Jerri Daboo; Profesa wa Sanaa – Chuo Kikuu cha Exeter, Exeter, Uingereza
Pumla Gobodo-Madikizela; Mwenyekiti, Kiwewe cha kihistoria na mabadiliko – Chuo Kikuu cha Stellenbosch, Cape Town, Afrika Kusini
Jennifer Hyndman; Masomo ya Wakimbizi – Chuo Kikuu cha York, Toronto, Canada
Rohit Jigyasu; ICOMOS, ICCROM – Chuo Kikuu cha Ahmedabad, Ahmedabad, India
Jala Makhzoumi; Profesa wa Ubunifu wa Mazingira na Ikolojia – Chuo Kikuu cha Amerika cha Beirut, Beirut, Lebanon

Watengenezaji na Wahariri wa Filamu

Izette Mostert, Mhariri wa Filamu – Purple Pear Productions, Stellenbosch, South Africa
Mark Kaplan, Mtengeneza filamu – Grey Matter Media, Cape Town, Afrika Kusini